Home
Unlabelled
makamu wa rais akiwa katika hifadhi ya wanyama ya serengeti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kumbe ana wake waili? safi sana dini inaruhusu hongereni kwa kuwa watalii wa ndani mfano bora,
ReplyDeleteSio dini tu hata Uafrika unaruhusu.Mimi ni mkristo lakini sioni ubaya na dhambi ya kuwa na wake wawili.Tangu enzi za enzi Waafrika walikuwa wanaowa kati ya mke mmoja au zaidi as long as una uwezo wa kuhudumia.Haya mambo ya kuowa mke mmoja ni ya western ambao hata wenyewe wanayapiga chenga kwa kuwa na vimada nje.
ReplyDeleteSioni ubaya uko wapi wa kuwa na wake wawili.Mimi ni mwanamke na nasapoti suala hili kwani tupo wengi duniani kama hatukuolewa wawili wawili wengine watakosa nafasi ya kuolewa na puta nafasi ya kupa watoto.Jee upo tayari kumuona dada yako au mtoto wako wa kike anakuletea ujauzito bila ya kuolewa?
ReplyDelete