Askari Mgambo wa Jiji la Dar wakiwa wamemsimamisha mmachinga aliekuwa akikatiza katika mitaa ya katikati ya jiji mchana huu huku akiwa kabeba biashara yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Tutunze vijana wetu katika kila hali, na kuendela kuwapuuzia na kuwanyanyasa kwa biashara ya sh. 1,000. Huyu kijana na wengineo mfano wake kama wangekuwa na elimu ungekuta wanwajibika kwa namna nyingine. Lakini kwa sasa risk yao ni kuwa mtaani na kutembeza hizo biashara zaidi ya hilo ni bora kijana kuhangaika kuliko kuwa jambazi.

    ReplyDelete
  2. I don't get this..why a city should have vigilantes or militias..what is the purpose of having police force. This is just to harrass people..when will this stupidity end? if they do not have enough police why cant government train these people and have proper police force that is responsible in ensuring public safety. i am really dissapointed and this picture has ruined my day.. A man looking for money in a legal way of selling his merchandise being stopped harrassed and beaten even in a country boasting of being peaceful..

    ReplyDelete
  3. Tz kabla ya kushughulikia jambo tuwe tunafikili kwanza! Couz kwanza hatuana ajira za kueleweka so watu wakishinikiza maha wanageuzwa sijui kama nni unawafukuza watu wala hata huwaelekezi waende wapi inamaana wakae tu home usiku wa gongee milango ndo wanacho kita

    ReplyDelete
  4. Hakuna ajira ya kutosha Tanzania. Vijana wanapata kipato kwa kutembea siku nzima katika joto na vumbi ili wapate visenti. Naona bora wawe machinga kuliko vibaka na majambazi. Hebu waache kuwasumbua.

    ReplyDelete
  5. anoni wa kwanza... hebu jifunze kiswahili... sasa "risk yake...." hapo umeitumia visivyo........ unaleta maana nyingine kabisa. Ehh, jamani kumbe na wewe elimu yako ndogo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...