Asalaam aleikum
kaka naomba niwasilishe ombi langu la msaada wa ushauri, Natumia Decorder ya STARMEDIA kupata signal za TBC.
Kwa bahati mbaya sipati signal za TBC1 na 2 vizuri kabisa -picha ni kama ina-freeze- ila cha kushangaza TV station nyinginezo ikiwemo Channel 10 naziona vizuri .
Je kuna ushauri wowote naweza kupata toka kwa wadau kwani wenyewe wanasisitiza uelekeze Antena yao Kisarawe jambo ambalo nimelifanya bila mafanikio
Mdau Dar es salaam
kaka its simple explaination
ReplyDeleteyou just go in MENU of ur remote then press it, scrow down to SYSTEM SETTING then press OK, then from there scrow down to signal status check the signal status of you antena then check on the following situation
1. for the old decoders with word DVB at the front door the signal quality must be greater than 60 other wise adjust ur outdoor antena t
2. for the new decoder with word STARTIMES at the front door the signal quality must be greater than 30 otherwise adjust ur outdoor antenna
NOTE
if u fail in that case then press DEFAULT SETTING ON SYSTEM SETTING everything will be okay
NOTE ;
If u fail in all situation tafadhari nenda kwenye ofisi zao watakusaidia kwani hawa jamaa wanahuduma safi sana