Marehemu Mwalimu Innocentia Banzi

Familia ya marehemu mwalimu Julius Banzi wa Mafiga Morogoro, inasikitika kuwatangazia msiba wa Mwalimu Innocentia Banzi kilichotokea alfajiri ya tarehe 12/01/2011 Dar-es-salaam-Tanzania.

Marehemu ni mama wa: Dennis Londo wa Helsinki-Finland; Esther Londo na Walonzi Tatala wa Tampere-Finland; Michael Gomela wa Reading-United Kingdom; Daniel Mtebe wa Stockholm-Sweden.

Habari za msiba huu ziwafikie wakuu wa shule zote za sekondari Tanzania, walimu na wanafunzi wa Kilakala sekondari, Morogoro sekondari na Masanze sekondari. Pia ziwafikie wanachama wote wa chama cha msalaba mwekundu Tanzania; wanachama wote wa chama cha maskauti Tanzania na wanamichezo wote wa Mkoa wa Morogoro.

Mazishi yanatarajiwa kufanyika Morogoro mara tu watoto wa marehemu watakapowasili.

Wale wote ambao mpo Finland msiba upo:

Lautamiehentie

2B 39 Vantaa

(kwa maelezo zaidi piga simu 050 4863508, 040 5892123, 040 3750820)

Tanzania upo nyumbani kwa marehemu Mafiga-Morogoro, na Dar-es-salaam upo Mbezi Luis-njia panda ya kwenda Makabe (ulizia kwa Kunambi) Kwa maelezo zaidi piga simu namba: +255 732201098, +255 717365676, +255 713233843

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. poleni wafiwa. ingekuwa watoto wa marehemu wapo kwa obama, tungeona bakuli linawekewa mkazo.

    ReplyDelete
  2. sorry for your loss my friends,she was one of my favourite teachers,
    rest in peace.
    (frank,boston usa)

    ReplyDelete
  3. Rest in Peace Mwalimu, Is this Daniels mother? the Daniel who was once at Mzumbe?

    ReplyDelete
  4. Poleni wafiwa na pole Michael, Yote ni mapenzi ya aliyetuumba. Mjuwe kuwa tupo pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu.
    MK (UK)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...