Mti unaoonesha umekula chumvi nyingi mchana huu umeangukia magari mawili yaliyopaki mtaa wa Jamhuri jijini Dar na kusababisha uharibifu mkubwa wa gari moja
wananchi wakipita karibu na ajali hiyo
Kioo cha mbele kimepata madhara, gari lingine limesevu kiasi
Kioo cha nyuma kwishnei. Wataalamu wa mambo ya bima ya magari
tunaomba msaada tutani. Je, hapa kitaeleweka upande wa malipo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. POLENI MLIOFIKWA NA MADHARA, NIMEIONA HIYO HALI.

    ANGALIZO, MITI MINGI HAPA JIJINI DSM IMESHAZEEKA KIASI KWAMBA INASUBIRI KUANGUKA SIKU YOYOTE, JAMANI WAHUSIKA TAZAMANENI HIYO HALI NA MUISHUGHULIKIE MAPEMA, MAENEO YA BARABARA YA SOKOINE, MAENEO YA IFM, TUJIHADHARI UKITIZAMA MITI VIZURI UTAIONA ILIYOKWISHA UHAI IPO MINGI INASUBIRI KUKAUKA TU NA KUANGUKA.

    WAJAMENI TUIONDOE NA TUPANDE MIPYA MINGINE ILIKUWEPO HATA KABLA YA UHURU.

    LEO YAMEWAFIKA HAWA, KESHO SISI.

    ReplyDelete
  2. utakaa hapo hadi utakoma wenyewe hakuna atayejali.

    ReplyDelete
  3. Bima haihusiki hapo...Hilo ni kosa la jiji. Jiji ndio lilipe hata mtu akiclaim madai yake kwa bima lakini bima itarudishiwa hela zao...Hiyo ni city negligence na wala sio the act of nature..City walipe kwanza miye ningekodisha hata gari la kutumia kwa kipindi hicho gari langu likiwa bado linatengenezwa...

    ReplyDelete
  4. Kama jamaa alikata bima kubwa (comprehensive) anastahili kulipwa.

    ReplyDelete
  5. Ingekuwaje? kama kungekua na mtoto mdogo kwenye kiti cha nyuma akisubiria mzazi atoke kwenye hayo maduka?
    Vunja miti yote katikati ya Jiji haina maina yeyote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...