sio kwamba mdau kakosea ama anafanya mwembwe. hii ndio namna ya kuongea kwa simu hizi maarufu kama 'kitochi', hasa hasa kama unathamini usalama wa ngoma ya sikio lako. halafu bei ni poa. mbau tu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. mbao ndo kiasi gani jamani???

    ReplyDelete
  2. jamani nisaidieni mbau ndio nini tena??

    ReplyDelete
  3. Mbavu sina. Hee jamani mwaka huu mbona tutaona mengi..Nimecheka sina mabvu ...imeshapita fununu humo vijueni simu ya mkononi bomu heh? Vijueni mmeshakuwa wataalamu na kuambiana ukigeuza kwa juma basi wewe poa. Hiyo mirays inakuingia ukiwa unatumia kwa mbele nyuma au kati. Watoto wadogo 16 yrs and below ndio waache kabisa mchezo wa kukaa kwenye simu 24/7...Ma brain tumor siye hatuna hela sa kutibu kabisa...Sasa imagine 10 to 15 years from now unaanza kuona watu wengi wana[aya hii ugonjwa tutamlaumu nani? Wazazi mnatakiwa nyie ndio muwe makini mambo ya kuadd voucher tu hapa yaishe...

    ReplyDelete
  4. Mbau ni ishirini ila kwa vile ni simu naona mbau ni elfu ishirini.au nimekosea ankal..

    ReplyDelete
  5. Mbau ilikuwa shilingi ishirini na sio elfu ishirini.., nyinyi mlikuwa bado hamjaja mjini nini?

    ReplyDelete
  6. yaani hapo ndo tunakosea kabisa ukigeuza. ukipokea kwa mbele inasaidia zaidi kwasab kuna cover hapo inayopunguza miale, ambayo haipo huo upande wa nyuma, kazi ipo, tutananihii wote kwa nanihii hii

    ReplyDelete
  7. Kwa anayezifahamu hizo simu, huko kuigeuza hakuumaanishi kukwepa madhara, bali zikifika muda fulani hauwezi kusikilizana na mpigaji wa simu kwa kuishikilia kwa ukawaida wake. Hivyo ili umsikie ni lazima ugeuze nyuma upande wa spika ndio mtasikilizana....

    ReplyDelete
  8. hizo simu ndiyo staili yake siyo kwamba anakwepa mionzi..ila hivyo ndivyo inavyotakiwa kusikiliza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...