Msanii aneigiza kucheka kama Michael Jackson kutoka kikundi cha B6 cha Visiwani Zanzibar,akionyesha ukali wake wa kucheza katika muendelezo wa tamasha dogo la ZIFF linaloendelea kufanyika hivi sasa katika viwanja vya ngome kongwe,Zanzibar.
Vijana wa T.H.T,toka kulia ni Bekka a.k.a Mzee wa Suspender,Nash Design pamoja na Mataluma wakiwakilisha vyema katika Tamasha Dogo la Filamu la ZIFF (ZIFF Mini-Festival) linaloendelea kufanyika hivi sasa katika viwanja vya ngome kongwe,Zanzibar.
Kikundi cha Dansi cha B6 cha visiwani Zanzibar kikionyesha umahiri wake katika Tamasha Dogo la Filamu (ZIFF Mini-Festival) lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya ngome kongwe,Zanzibar.
Timu nzima ya PiliPili Entertainment watengenezaji wa Filamu mbalimbali,zikiwemo BLACK SUNDAY,NANI pamoja na HUBA zinazotesa kwa sasa katika soko la filamu hapa nchini,wakitambulishwa katika jana katika Tamasha Dogo la Filamu la ZIFF,visiwani Zanzibr.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...