Mkurugenzi wa Kampuni ya RBP Oil & Industrial Technology (T) Ltd,Nabil Nassor Salum akikabidhi jezi kwa Mkurugenzi wa PSET,Othman Kazi, ikiwa ni sehemu ya udhamini wao katika bonanza la sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar.RBP Oil imetoa kiasi fedha taslimi,Sh. 3,000,000 ili kufanikisha bonanza hilo.Katikati ni Rais wa Kampini ya RBP Oil & Industrial Technology (T) Ltd,Mama Rahma Al - Kharoos.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...