Ryan Babel (picahni juu) wa Bwawa la Maini huenda akaadhibiwa baada ya kumsema kwenye tovuti yake refa anayeibeba Man U Mh. Webb na kesi yake aliyoomba ajieleze itasikilizwa January 17 mwaka huu. Babel alimnanga Webb baada ya mechi yao dhidi ya Man U ambapo refa huyo mnoko kwa timu zote isipokuwa Man U alipomchapa Steven Gerald kadi nyekundu kukiwa bado alfajiri. Huyu refa ameshawaliza hata Arsenal alipowapa Man U penalty ya ajabu
Picha ya Refa Webb iliyochangia tafrani ya Babel.
Chanzo na habari zaidi
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Wacha maneno wewe... mmefungwa hata na Blackpool... au refa aliwapendelea pia..

    ReplyDelete
  2. Nyinyi Bwawa la maini hamna nyimbo mnafungwa na kila timu juzi mmefungwa na bwawa jeusi mmekaa kimya na sasa mtaka sapoti ya Arsenal ili mpate wa kulia nae ktk kilio chenu hebu tengenezeni timu kwanza ndio mpige kelele subilini evaton muone mtapigwa tena.

    ReplyDelete
  3. kak michuzi sisi watu wa gooner tunajuwa Mr webb ni
    ni mtata mnazi wa man u na refa mtata lakini analinda kibaruia chake
    kwa malikia cku zote man u wakubebwa mbeleko
    hata juzi vidic kasema tunashinda lakini mpira tunaocheza siioni uwanjani. kaka michuzi pole sana kwa mapito uliyonayo kwa sasa.cku njema

    ReplyDelete
  4. Nyinyi loverpool mnalalamika nini wakati team inashuka daraja,hiyo penalt moja mkipewa mtarudi juu ya premier league?hakuna mnaporomoka kama moto wa kifuu pamoja na kumrudisha kenny bado mambo ni yale yale,mkiona mnaonewa mkacheze mpira russia huko na marefa wa ukweli kaaeni kimya na subirini kucheza coca cola cup,maana team inakwenda huko,hiyo ndio main issue sio webb anaipendelea man utd.Looserpool go down to helllllllllllll

    ReplyDelete
  5. nyinyi bwawa la maini acheni kulalamika,juzi mmepigwa mabao na machenza,kwani refa alikua huyo?mlisahau mlivyobebwa kwenye champions league,2007 garcia aliifunga chelsea goli la mkono!!

    ReplyDelete
  6. ukweli unajulikana refa alicheza kamari ile mechi

    ReplyDelete
  7. liverpool daily wao wanaufungwa lakini kimpya manake wanafungwa mpaka team zinazoshika mkia na huoni kulalamika but wakifungwa na manu tu hawakosi la kusema hahahaha mukiendekeza hivyo mtakuja kujikuta mmeshuka daraja bila ya kutaka, mnatakiwa mtafakari jinsi ya kuepuka kuteremka daraja sio penalty ya man utd, hata mngeshinda ile game basi hamufikia mahala popote pale kueni na akili yakhe

    ReplyDelete
  8. historia? mwaka huu inavunjwa na mnashuka daraja kama historia hata Nottingham forest wanayo. bye bye

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...