

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wacha maneno wewe... mmefungwa hata na Blackpool... au refa aliwapendelea pia..
ReplyDeleteNyinyi Bwawa la maini hamna nyimbo mnafungwa na kila timu juzi mmefungwa na bwawa jeusi mmekaa kimya na sasa mtaka sapoti ya Arsenal ili mpate wa kulia nae ktk kilio chenu hebu tengenezeni timu kwanza ndio mpige kelele subilini evaton muone mtapigwa tena.
ReplyDeletekak michuzi sisi watu wa gooner tunajuwa Mr webb ni
ReplyDeleteni mtata mnazi wa man u na refa mtata lakini analinda kibaruia chake
kwa malikia cku zote man u wakubebwa mbeleko
hata juzi vidic kasema tunashinda lakini mpira tunaocheza siioni uwanjani. kaka michuzi pole sana kwa mapito uliyonayo kwa sasa.cku njema
Nyinyi loverpool mnalalamika nini wakati team inashuka daraja,hiyo penalt moja mkipewa mtarudi juu ya premier league?hakuna mnaporomoka kama moto wa kifuu pamoja na kumrudisha kenny bado mambo ni yale yale,mkiona mnaonewa mkacheze mpira russia huko na marefa wa ukweli kaaeni kimya na subirini kucheza coca cola cup,maana team inakwenda huko,hiyo ndio main issue sio webb anaipendelea man utd.Looserpool go down to helllllllllllll
ReplyDeletenyinyi bwawa la maini acheni kulalamika,juzi mmepigwa mabao na machenza,kwani refa alikua huyo?mlisahau mlivyobebwa kwenye champions league,2007 garcia aliifunga chelsea goli la mkono!!
ReplyDeleteukweli unajulikana refa alicheza kamari ile mechi
ReplyDeleteliverpool daily wao wanaufungwa lakini kimpya manake wanafungwa mpaka team zinazoshika mkia na huoni kulalamika but wakifungwa na manu tu hawakosi la kusema hahahaha mukiendekeza hivyo mtakuja kujikuta mmeshuka daraja bila ya kutaka, mnatakiwa mtafakari jinsi ya kuepuka kuteremka daraja sio penalty ya man utd, hata mngeshinda ile game basi hamufikia mahala popote pale kueni na akili yakhe
ReplyDeletehistoria? mwaka huu inavunjwa na mnashuka daraja kama historia hata Nottingham forest wanayo. bye bye
ReplyDeletePoker Online Indonesia
ReplyDeletePoker Online Indonesia