Umati mkubwa wa waumini wa Dini ya kiislam, wa geita, wakishiriki maandamano maalum yalioandaliwa kwaajili ya kumpokea Sheikh mkuu wa Tanzania, Sheikh issa Bin Shabani Simba, aliyewasili jana mjini hapa, Sheikh Simba anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa shule ya kiislam ya Geita, harambee hiyo itafanyika leo hapa Geita.
Home
Unlabelled
sheikh mkuu Issa bin Shaaban Simba awasili geita leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nimefarijika sana kusikia kuwa Sheikh Simba ataongoza harambee ya kuchangisha fedha za kujenga shule. Ndiyo, tunahitaji shule zaidi.
ReplyDeleteShukrani kwa waislam wa Geita na Mufti mkuu kwa kulion hili. Waislam wanachotakiwa ili kuboresha maisha yao na watoto wao ni kuzingatia elimu bila hata kuadhiri imani yao. Mimi kama mkristo ambaye liberal ambaye nimekuwa na kusoma na waislamu ambao wengi wamekuwa rafiki zangu wa hali na mali, adui wa uislam sio ukristo bali hali iliyokuwepo ya kutozingatia elimu ya shuleni.
ReplyDeleteNapata faraja kwamba sasa wameanza kiliona hili, na nimatumaini yangu waislam wote nchi watafuata mfani huo wa ndugu zetu wa Geita, ili kwamba nchii hii iendelee bila ya kuacha jamii fulani nyuma.
Hongereni Waislam wana Geita
Wewe pumbavu uliyesema waislamu hawazingatii elimu ya shuleni, nakuuliza umesoma shule gani na miaka gani?
ReplyDelete