
Mkuu wa wilaya ya Misenyi Kanali Mstaafu Issa Njiku (mwenye Miwani) akimuonyesha Mwenyekiti wa taasisi ya maendeleo Tanzania Julian Marcus moja ya madarasa ya shule kongwe ya msingi ya Omurushenye iliyojengwa siku chache baada ya uhuru ilivyo katika hali mbaya, shule hiyo ni moja ya miradi iliyoombewa fedha na KCDI toka TDT kwa ajili ya kukarabatiwa, shule hiyo haina sakafu na haijapigwa plasta.
Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii Bukoba
Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii Bukoba
Are we that poor? Shul eimejengwa tangia wakati wa Uhuru tunashindwa kusakafia au kupiga plasta? I think Waafrika tuna utamaduni wa kutopenda vitu vizuri.
ReplyDeleteMbona wakuu wa wilaya karibu wote majina yao ya kwanza yanafanana. I mean Kanali mstaafu. Hilo jina lina maana gani nifahamisheni
ReplyDelete