Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. LadyJayDee na Sikinde nashauri mtumie uwanja huo huo wa Mzalendo Pub kutayarisha video kali itakayotengenezwa na video shooting crew wakali huku mkihakikisha sound engineer bora kabisa.

    mkifuata ushauri huu hapo juu basi soko la ndani na nje la muziki wa dansi utafufuka na kuzidi mara milioni nyingi.

    ReplyDelete
  2. Lady Jaydee, nakushauri urekebishe kidogo jinsi ya uimbaji wako, yaani endana na mpangilio wa wimbo, hapo ktk wimbo umeanza chorus mapema kabla ya wakati wake. alafu jaribu sana kuimba na rhythm ya wimbo. kama Ngurumo hapo anaingia na rhythm ya wimbo. ni hayo tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...