Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dr.Charles Kimei akizungumza wa wafanyanyakazi na familia zao wakati wa sherehe ya siku ya wana familia ''Family Day" ilizofanyika mwishoni mwa juma katika viunga vya Wet n Wild, Kunduchi, jijini Dar
FM Academia "Wazee wa Ngwasuma"wakiburudisha wana familia wa benki ya CRDB katika sherehe hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dr.Charles Kimei akitoa zawadi kwa Bw. Adam Jawela mfanyakazi wa tawi la Azikiwe ambaye aliibuka kidedea katika mchezo wa kuogelea.Katikati ni Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Benki hiyo Bi. Dorah Ngaliga
Watoto wa wafanyakazi wakifurahia siku



Tuli hakuwepo?
ReplyDeleteYule Dada me namzimia sana yule.
We acha tu!