Home
Unlabelled
TANGAZO LA MWAKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
LOL!..funny Antil basi!
ReplyDeleteKama hutaki kutaja mtandao wako, basi japo twambie huo mkahawa wako uko wapi basi
ReplyDeletesafi kabisa. Hasan this is good
ReplyDeleteHaaa huu mgahawa naujua hupo jambiani lol Hassan yupo fresh sana jamaaa.
ReplyDeleteMdau Zanzibar-Jambiani
Nakubaliana na Ankal, maana hii ilipita zote za 2010, nikiwa bongo lazima nimtafute HASSAN..HAPY NEW YEAR
ReplyDeleteNUTRO-KANADA
hii picha nilipiga mimi halafu kuna mtu ambaye yupo kwenye people i know in facebook akaichomoa na kuituma humu ndani. Hapana, hii si sahihi.
ReplyDeleteSijali sana lakini kwani Watanzania hatuna kawaida ya kuheshimu cha mtu hasa sanaa.
Heri ya mwaka mpya!
Sekibaha D,
...... kama sikosei kuna mtundiko mmoja kuna mtu ana dai anatunza waume za watu wakati wake zao wako bize pia kupeleka posa au barua za uchumba ! ule ndio best Ankal ! hebu utoe tujikumbushe!
ReplyDeletemzeee yaaani kama vile umeota, yaani hiii ni kiboko, kila siku nilikuwa naomba niione tena, yani ni funika bovu.
ReplyDeleteha ha ha ankal mithupu mie naona best ya 2010 ni ile ya Kuogelea kwenye swimming pool uongozi wakaweka tangazo kwamba wanamaanisha usiogelee tumeweka dawa mda mfupi uliopita sasa ki-inglishi walichotumia yani ni baraaaa hadi mbavu zinauma hapa kwa kucheka ebu tuwekee wadau tuvunjike mbavu
ReplyDeleteBR,
Robert Sambeke III