Wadau kibao wameniamuru nitaje mtundiko wangu
bora wa mwaka 2010 ambao umenifurahisha. Huo hapo.....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. LOL!..funny Antil basi!

    ReplyDelete
  2. Kama hutaki kutaja mtandao wako, basi japo twambie huo mkahawa wako uko wapi basi

    ReplyDelete
  3. safi kabisa. Hasan this is good

    ReplyDelete
  4. Haaa huu mgahawa naujua hupo jambiani lol Hassan yupo fresh sana jamaaa.

    Mdau Zanzibar-Jambiani

    ReplyDelete
  5. Nakubaliana na Ankal, maana hii ilipita zote za 2010, nikiwa bongo lazima nimtafute HASSAN..HAPY NEW YEAR
    NUTRO-KANADA

    ReplyDelete
  6. hii picha nilipiga mimi halafu kuna mtu ambaye yupo kwenye people i know in facebook akaichomoa na kuituma humu ndani. Hapana, hii si sahihi.

    Sijali sana lakini kwani Watanzania hatuna kawaida ya kuheshimu cha mtu hasa sanaa.

    Heri ya mwaka mpya!

    Sekibaha D,

    ReplyDelete
  7. ...... kama sikosei kuna mtundiko mmoja kuna mtu ana dai anatunza waume za watu wakati wake zao wako bize pia kupeleka posa au barua za uchumba ! ule ndio best Ankal ! hebu utoe tujikumbushe!

    ReplyDelete
  8. mzeee yaaani kama vile umeota, yaani hiii ni kiboko, kila siku nilikuwa naomba niione tena, yani ni funika bovu.

    ReplyDelete
  9. ha ha ha ankal mithupu mie naona best ya 2010 ni ile ya Kuogelea kwenye swimming pool uongozi wakaweka tangazo kwamba wanamaanisha usiogelee tumeweka dawa mda mfupi uliopita sasa ki-inglishi walichotumia yani ni baraaaa hadi mbavu zinauma hapa kwa kucheka ebu tuwekee wadau tuvunjike mbavu

    BR,
    Robert Sambeke III

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...