Home
Unlabelled
UZEMBE ULIOTUKUKA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michu naona leo wamekukera sana!! Si unajua tena mswahili awezi kufanya kazi bila kiboko!!!Inasikitisha kweli tena jijini kabisaaa!!
ReplyDeleteAsante sana Bwana Michuzi kwa kuliona tatizo hilo ambalo yawezekana waliofanya hivyo hawakuona kwamba ni hatari, kweli inasikitisha sana, tunaimani kwa kuwa umepaza sauti, wahusika watalifanyia kazi na utakuwa umeokoa uhai wa watanzania wemgi. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake,ili wafanyekazi kwa hofu ya uso wako.
ReplyDeleteUncle nakushukuru sana kwa kujitokeza kuainisha HATARI hii kweli bongo tambarare.Yaani sitoshangaa kukuta ni wachache kati ya hao wahandisi hapa bongo wanaojali"road health and safety" no disrespect ,these guys are clueless .Karne ya 21 Matatizo makubwa barabarani bongo ni (1) ubora wa barabara mahandaki kila kona (2)Uendeshaji wa magari yenyewe, hakuna nidhamu ya uendeshaji ya kuridhisha kabisa utakuta hata wanaotaka kuendesha kwa nidhamu wanashindwa,kutokana na kwamba madereva wengi hawajali .Nduguzangu haya mawili yanakera sana ndio maana wabeba maboksi wakija bongo ajali lazima.Pale watadhani wako motorway(M4) reading - slough uk unajiachia ukikumbana na jiwe lile utapona kweli ndugu? wabeba maboksi wenzangu mie nilisha staafu nimerudi huku hivyo nawaasa mnaotarajia kustaafu na kurudi bongo (mjihadhari na barabara zetu )sitaki kulaumu saaana hapa ni bongo nchi yangu naipenda ni lazima turudi kwa nguvu tubanane tutatue matatizo yetu kwa urahisi.
ReplyDeleteMdau mmbebaboksi mstaafu.
Kazi nzuri Michu!
ReplyDeleteIssa,
ReplyDeleteMay be they are trying to imitate this exit in US Motorway, but the only difference is that, we in Dar(municipal) decided to let MAJIWE ya kutoa roho on the road, rather than let the real car through.
Even though that sound plausible putting an exit right infront of Highway without a signal, how is that come to their imagination,?? we really dont know!..
My 5yrs old son saw it as a problem, may the City(Municipa) should invite him, to tell them they have a problem
Ndio maana wakisema Wafrica akili finyu uwezowao wa kufikiri mdogo. Mnakataa. Hataaa. sasa hii nini? sinajidhilisha wazi.
ReplyDeletemijitu mingine mnataka mji wa dar uwe na miundo mbinu kama ya ulaya sasa hii ya kupnga mawe katikati ya balabala wameiga ulaya gani au wapi yani inamaana walio jenga balabala mwanzo walikua awajaona umuhimu wa kupaacha wazi apo ili watu waweze kukatiza kuingia zahanaki st kwa uraisi . ujinga mtupu naunaweza kukuta watu walikaa na kushauliana kufanya hivyo.
ReplyDeleteharafu tukisema maengineer wa tz ni zero mnakasirika, sasa hizo fryovers zikija ndio itakuwaje ?naona wataweka vichuguu na sio matuta tena huko juu ya fryovers!!
ReplyDeleteYAANI SINA COMMENT. KAMA ULIVOGUSIA NINA UHAKIKA MCHAWI WA TANZANIA ALISHAKUFA NA HAKUACHA MASALIA YAKE NYUMA KWA MTU YOYOTE YULE. SO WE ARE FINISHED!
ReplyDeletewotee MBwaa kabisaa wizii mtupuu.
ReplyDeleteyaani hayo mawe nimeyakosakosa mimi , masikini mtu aliyevaa duh sijui kapona ? mimi niliyastukiza haya HAMADI nikayakwepa .. BONGO TAMBARARE
ReplyDeletewenzao nchi kama malaysia gari inapiga u-turn hata kwenye mataa lakini bongo kama kuna foleni lazima uifuate tu, ushauri wa bure hapo wangeruhusu hata ku uturn mnazi mmoja ikiwezekana itapunguza sana foleni kama si kuondoa. na trafic waruhusu hizo u turn popote maana mambo yamebadilika, nimejifunza malaysia kama kuna foleni uturn popote, muulize zitto au sisco wanayajua haya.ukitaka video nitakutumia michuzi uone then uwapelekee jiji, hata bus huku ruksa kushusha kwa foleni. zaja video
ReplyDeleteAjali ni kumi tu? Siwezi kuamini nadhani ni ajali kumi kwa kila saa! yaani hata sifahamu ni vipi madereva wanategemewa kuona mawe hayo na kuweza kuyaepuka ukizingatia na speed wanazopita hapo!!!!
ReplyDeleteTuseme nini? uchaguzi umekwisha haduma za mwananchi hazina kipaumbele!
Kweli ni uzembe wa hali ya juu na kukosekena kwa ubunifu. Inaelekea wameweka majabali hayo kwa ajili ya usalama wa wajenzi na kufunga eneo ambapo ujenzi unaendelea. Ubunifu uliokosekena hapo ni vitu viwili: 1. kuweka vibao vya tahadhari kwa madereva kama umbali wa nusu kilometa, na 2. kuweka mapipa ya plastiki umbali kiasi kabla ya kufikia miamba hiyo kuwaongoza madereva kubadilisha njia. Hivi ni vitu visivyohitaji phd wala pesa za kigeni. Ninakubaliana na hoja yako kuwa ni ukosefu wa ubunifu na kutojali maisha na mali za wananchi. bongo tambarare!!
ReplyDeleteIt looks like the barriers were put there to protect the newly laid concrete to allow it to cure and someone forgot them. I know its frustrating but as drivers it is our responsibility to also be safe. The barriers are an obstruction and are poorly marked but as drivers we also need to do our part in being safe when we drive. its easy to point fingers but reality is most of us are reckless drivers which only adds to the problem.
ReplyDeleteSafi sana kwa kufikisha ujumbe,ninarudi kule kule kwamba maisha ya mwaafrika hayana thamani,watu tena mainjinia wetu wanatengeneza Vifo kwa uzembe,hapa nadhani hakuna msimamiaji ni bora liende.Na sisi wananchi lazima tuwe wakali kwa urofa wa namna hii,inauma sana.Msimamizi lazima aulizwe maswali kwanini ametengeneza hatari?halmashauri zimejaa mainjinia uchwara hakuna safety management,wanachojali ni kumaliza kazi bila kuzingatia viwango.kama ni kazi hapo mimi nawapa point 2 kwa kumi,njaa tu.Halafu mtu huyo huyo anarudi nyumbani anajiita injinia,hivi kweli anaujua uinjinia au anaiga tu.
ReplyDeleteAsante sana kaka michuzi na hongera sana kwa kazi nzuri ya kuwafikishia habari wahusika
ReplyDeletekwa kweli ni jambo la kusikitisha sana na kutia aibu kubwa kwa taifa letu
ikiwa mambo kama hayo yanatokea katikati ya jiji la dar ni aibu iliyotukuka
kitu cha hatari kama hicho yani kuhatarisha maisha ya binadamu kimchezo mchezo kwa sheria za nchi zilizoendelea ajali ya hapo ni lazima wahusika wakuu wa jiji wahusike
inakuaje kufanyika kwa ujenzi wa kishenzi kama huo bila kujali maisha ya watu na mali zao hivi kweli mtu anatoka huko atokapo kwa mwendo akijuwa wazi barabara ni 2 na kwa ghafla anakutaka na hayo mawe inabidi apige break za ghafla au akubali kuyagonga
hivi kweli tanzania ni wapi tunapoelekea ikiwa wenyewe hatuna imani ya kujali maisha ya mwinzio
kama kweli upo na imani na akili timamu huwezi kuhatarisha maisha ya mwinzio like that
kisheria wajenzi kama hao wanatakiwa kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa kosa la kuhatarisha maisha ya watu
Hongera sana kaka michuzi na mungu akuzidishie uzima na nguvu ili uendelee kuwafikishia habari wahusika ili waone ni namna gani walivyo na dharau kwa binadamu
tunachagua viongozi ili watusimamie kwenye matatizo yetu na sio viongozi waje kutufanya kama hatuna maana kwenye dunia hii
mungu atawaonyesha malipo yao hapahapa duniani hao viongozi wenye roho za chuma wanaojijali wao na familia zao bila kujali maisha ya watu wengine.
Asante sana kaka michuzi na hongera sana kwa kazi nzuri ya kuwafikishia habari wahusika
ReplyDeletekwa kweli ni jambo la kusikitisha sana na kutia aibu kubwa kwa taifa letu
ikiwa mambo kama hayo yanatokea katikati ya jiji la dar ni aibu iliyotukuka
kitu cha hatari kama hicho yani kuhatarisha maisha ya binadamu kimchezo mchezo kwa sheria za nchi zilizoendelea ajali ya hapo ni lazima wahusika wakuu wa jiji wahusike
inakuaje kufanyika kwa ujenzi wa kishenzi kama huo bila kujali maisha ya watu na mali zao hivi kweli mtu anatoka huko atokapo kwa mwendo akijuwa wazi barabara ni 2 na kwa ghafla anakutaka na hayo mawe inabidi apige break za ghafla au akubali kuyagonga
hivi kweli tanzania ni wapi tunapoelekea ikiwa wenyewe hatuna imani ya kujali maisha ya mwinzio
kama kweli upo na imani na akili timamu huwezi kuhatarisha maisha ya mwinzio like that
kisheria wajenzi kama hao wanatakiwa kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa kosa la kuhatarisha maisha ya watu
Hongera sana kaka michuzi na mungu akuzidishie uzima na nguvu ili uendelee kuwafikishia habari wahusika ili waone ni namna gani walivyo na dharau kwa binadamu
tunachagua viongozi ili watusimamie kwenye matatizo yetu na sio viongozi waje kutufanya kama hatuna maana kwenye dunia hii
mungu atawaonyesha malipo yao hapahapa duniani hao viongozi wenye roho za chuma wanaojijali wao na familia zao bila kujali maisha ya watu wengine.
Michuzi mimi ni dereva mzuri sana niliyejifunzia kuendesha daladala. Badaa ya kupata bahati ya kuwa huku nchi za wenzetu nimejifunza kitu kikuu kimoja. Nacho ni kuthamini uhai wa mwanadamu zaidi ya kitu chochote kile kwani ni irreplaceable.
ReplyDeletePia nimejaaliwa kupata nafasi ya kubeba box katika majengo na barabara huku kwa wenzetu, suala la responsibility linapewa nafasi ya kwanza. Jamaa wa safety wanatutembelea kila wiki site tena kwa kushitukiza.
Failure to comply with construction safety and regulations might lead into high fine and sometimes even a winding up of a company.
Kwa harakaharaka nilichoona katika hayo mawe ya katikati barabara ukiacha yaliyofunga njia ni kitu kikuu kimoja, nacho kuhakikisha usalama wa wajenzi kutokana na madereva wasiofuata sheria wakati ujenzi ulipokuwa unaendelea. Hiyo ni legitimate reason hasa kwa Dar es salaam yenye madereva wengi wanaoendesha na pombe + bangi vichwani mwao, Ila wamesahau kitu kimoja kuwa usalama si tu wa wajenzi waliokuwa wanafanya kazi hapo bali pia na wa raia na watumiaji wengine wa barabara. Kama Tanzania tungekuwa na sheria za kuwabana hao wajenzi kulipa fidia ya mali zitakazo haribika tokana na uzembe wao, basi ujenzi huo ungekuwa wa tahadhali sana kwa kuogopa kuleta hasara badala ya faida kwa contractor.
Kwa wenzetu ujenzi wa sehemu hiyo ungechukua siku tatu tu na kuwa umeisha ila kabla ya kuanza wiki mbili kabla wangeweka matangazo na tahadhari kwa madereva kupitia za alama za barabarani. Na wakati wote wa ujenzi wasingeweka mawe hayo ya kwa ajili ya ku-create working space badala yake kungekuwa na artificial traffic lights pia na mtu ameshika kibenedela akiwa na reflective suit kuongoza magari kwa siku zote tatu.
Kwa ujumla hayo mawe hayakuhitajika na kama yalihitajika basi ilitakiwa yawekwe kwa tahadhari wakati wa ujenzi tu kama wenzetu wanavyofunga barriers na muda wa kazi ukiisha yaani saa kumi na moja yanaondolewa.
Kingine ni Polisi wa usalama barabarani kuwa na full details na information za wahusika na wasimamizi wa ujenzi huo ili iwe rahisi kuwataka watoe mawe yao pindi wanapokuwa hawapo kazini. Pia kulitakiwa kuwa na Road safety unity ya jiji kazi yake ni kupita na kuangalia kitu chochote kinachoweza kuwa chanzo cha ajali na kurekebisha. Sisi Tanzania hatufanyi jambo mpaka litoe roho za watu, nina hakika ukitokea mzinga (god forbid) na watu kumi kupoteza maisha yao hapo hapo kwa ajili ya hayo mawe, the next hour hutayakuta mawe hayo. What a country Tanzaia is?.
michuzi umerudisha heshima tena maana nilikuwa nimeshaanza kuku delete ila leo umenifurahisha tunataka habari kama hizi ili watu wajue wapi pa kurekebisha mambo yanapoenda kombo katika nchi sio kutuwekea sijui party na nanihii anyway task nyingine ninayokupa hembu fuatilia yule jamaa wa zeutamu alishafungwa au bado na kesi yake inaendeleaje!!!asante
ReplyDeleteNadhani ninawedha kukisia lengo la mawe hayo. Lengo ni kuhakikisha usalama wa mafundi wanaotengeneza kipande hicho kwani pasipokuwa na midude hiyo basi uwezekano wa madereva kuwavaa mafundi hao ni mkubwa sana. Lengo lao si baya isipokuwa hawakutumia akili kutimiza jambo hilo. Walitakiwa waweke sign kuanzia mbali inayowataadhalisha madereva kwamba kuna barabara itakua finyu baada ya km kadhaa kwa sababu za ujenzi. na pia madude hayo yawekwe kipindi ambacho hakina magari mengi (Rush Hour) au wafanye shughuli hizo wakati wa usiku kukiwa kumetulia. Serikali inatakiwa iwagharamie waandisi wetu kusafiri kwenda nchi zilizoendelea kujionea wenzao wanavyofanya kazi.
ReplyDeleteKweli hapo hapajakaa vizuri. Kama mchana ndio hali ilivyo sijui usiku inakuwaje maana haonyeshi kama pana angao hata taa za kuashiria kuwa pana ujenzi unaondelea, diversion au njia imefungwa. It very dangerous kwa kweli. Tujali zaidi maisha ya watu.
ReplyDeleteKwa kuongezea sehemu kama hiyo ni working zone hiyo kuwa na hayo mawe ni Ok lakini ilitakuwa pia ku-combine heavy barrier, reflective drums and sign na ingebidi kuwepo posted sign to alert drivers to reduce driving speed. Typically huwa pia kunatakiwa kuwepo mabango yanayoonyesha fine itakayolipwa endapo driver ata-disobey the posted speed warnings.
ReplyDeleteMichuzi, hujaweka wazi ni lini hiyo barabara ya kukatiza kwenda mtaa wa Zanaki ilipasuliwa hapo. nionavyo mimi hiyo "Construction Zone". Nionavyo mimi ni kwamba hayo mawe yamewekwa hapo ili kuzuia magari yasije yakagusa hiyo kingo ili zege iliyotumika hapo ikauke vizuri. hiyo ni jambo la kawaida hata hapa Marekani utakutana nayo sana tu.
ReplyDeleteTatizo ambalo tunayo huko nyumbani ni kutokuwa na standard ya kutoa taadhari katika maeneo ya ujenzi wa barabara. kama kilometa moja hivi kabla ya kufika hapo wangeweka taadhari kuwa kuna ujenzi unaendelea mbele na kuweka alama, ili mtu anaekaribia hapo achjukue taadhari. Pia kosa jingine ambalo nimeliona hapo ni kuweka hayo mawe, wangetumia vifaa vya plastic ambavyo wanaweza kujaza mchanga ili hata gari kwa bahati mbaya imekosea ikagonga itapunguza uharibifu na hata kuokoa maisha.
Bongo hakuna standard. Tafadhali wadau walipigie kelele hilo.
Mdau USA.
Hivi Bongo hakuna wahaiti? Ngoja wajue kuna upenyo hivyo watakuja na kujigogesha hapo ili waje wawasue. Wao kwa mambo hayo wajanja sana wakiona tu kuna ujinga kwenye city watapigiana simu na kila mmoja atapata ajali mahali hapo hapo within hours ukiuliza ni nani unaambiwa MuHaiti huyo....subirini waje huko mtakuwa waangalifu kweli
ReplyDeletehii tabia iko sana kwa wajenzi wa barabara Tandika/Mtoni mashine ya maji wanajenga barabara huwa wanafunga njia hawaweki alama yoyote kuwa barabara imefungwa mbele inaleta usumbufu usio na sababu.Sijui kwa nini?au hawajui wanachofanya?
ReplyDeleteJamani eeh, you are missing a point! HOJA SIO MAWE, HOJA NI KWANINI NJIA MPYA ILIJENGWA NA BAADA YA MUDA MFUPI IKAZIBWA TENA!!!??? NANI ALIFANYA MAAMUZI HAYA??? GHARAMA KIASI GANI ZIMETUMIKA???? MAAMUZI HAYO YALIPITISHWA NA NANI?? KUNA MTU YEYOTE AMEWAJIBISHWA??? HII HASARA INALIPWA NA NANI??? HIZI NI FEDHA ZA WALIPA KODI WANANCHI WA KAWAIDA WANAOISHI KWA DHIKI KILA SIKU, NI FEDHA ZA WALIPA KODI. HAPA SIO TU UZEMBE TU, BALI KUNA HARUFU KALI YA RUSHWA INANUKA HAPO??? KUNA KILA DALILI HAPO KWAMBA KUNA MTU/WATU WAMESHAKULA 10% HAPO NA SIKUKUU ILIWAENDEA VIZURI KABISA??? BRO MICHU FUATILIA HII HADI KIELEWEKE - ALISABABISHA HILI AJULIKANE NA AWAJIBISJWE ILI LIWE SOMO KWA WAZEMBE WENGINE!!! IKIACHWA HIVI MWINGINE NAYE ATAFANYA KITUKO KINGINE MAHALI PENGINE, AKIJUA KWAMBA HAKUNA ATAKACHOFANYWA!!! TUBADILIKE TUANZE KUWAWAJIBISHA WAZEMBE ILI WENGINE WAJIFUNZE!
ReplyDeleteOLE WENU NIFUKUZWE KAZI NYIE MNAOCHONGA SANA, BAADA YA KUTIMIZA MASHARTI YA MGANGA NIMEPATA TENDA HII THEN AKASEMA NIKITAKA NYINGINE KUBWA LAZIMA NISABABISHE AJALI HAPO SO NAJUA TENDA KUBWA ITAKUJA SOON, MMENISOMA NA MICHIZI WENU.NIKUFUKUZWA MGANGA HATAWAONESHA NA NYIE
ReplyDelete