Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, Mhandisi Peter Mawele akitoa maelezo mafupi kuhusiana na kuanzishwa kwa baraza la wafanyakazi kwa ajili ya kushughulikia kero za watumishi katika Halmashauri hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Bi. Evarista Kalalu (wa nne kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wajumbe wa bodi mpya ya wafanyakazi wa wilaya ya Mufindi baada ya kuundwa kwa baraza la wafanyakazi jana ,kushoto kwake ni kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi,Mhandisi Peter Mawele.
(picha na Francis Godwin wa Globu ya Jamii)
(picha na Francis Godwin wa Globu ya Jamii)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...