Vijana waishio nje ya wilaya ya Same wakijiandaa kutoa msaada kwa wagonjwa wa hospital ya wilaya hiyo wakati a Re-Union ya kuuaga mwaka 2010 na kuukaribisha 2011
Vijana wa kutoka wilayani Same waishio nje ya wilaya hiyo pamoja na wale waishio Same kwa sasa wakiwa kwenye lango kuu la kuingia mbuga ya wanyama ya taifa ya Mkomazi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Athanteni thana! Nahavache!

    ReplyDelete
  2. safi sana vijana wa same[vuathu]. maendeleo yataletwa na shughuli za msaragambo/harambee/kujitolea.

    ReplyDelete
  3. Inaonyesha jinsi tunavyoanza kujua umuhimu wa vyetu na kusaidiana wenyewew kwa wenyewew..Who knew kuna mkomazi national park...Asanteni hivi ni vivvutio vya asili yetu...HONGERA SANA VIJANA WA SAME

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...