Meneja wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom(Vodacom Foundation)Yessaya Mwakifulefule katikati na Mwalimu mkuu msaidizi Juma Zukinga kushoto wa shule ya msingi ya Uhuru Mchanganyiko ya jijini Dares Salaam wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa makabidhiano ya bweni kwa ajili ya watoto wenye matatizo ya utindio wa ubongo sheleni hapo anayeshudia kulia Afisa wa Mfuko huo Grace Lyon,Vodacom Foundation ilijenga kwa thamani ya zaidi ya shilingi Milion 12.
Afisa wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom(Vodacom Foundation)Grace Lyon akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watoto wenye matatizo ya mtindio wa ubongo wa shule ya uhuru mchanganyiko ya jijini Dares Salaam mara baada ya makabidhiano radhimi ya vyoo na bweni yote waliyojengewa na mfuko huo kwa , thamani ya zaidi ya shilingi Milion 12.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...