Wadau Uholanzi wameamua kujirusha February 12 badala ya 14, 2011 kwa vile wanasema siku ya Wapendanao inaangukia siku ya boxi, na kwa vile ni kwa watu maalum ambao watatumiwa kadi imebidi iwe hivyo. Libeneke oye!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mungu atanusuru na utamaduni wa mayahudi na manasara mungu ameeanda siku bora ndani ya pepo yake kuliko siku hiyo mnayosherekea hapa duniani kwa kufanya maasi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...