Mmoja wa wasanii mahiri kutoka THT,Lina akimpagawisha mkazi wa Arusha usiku huu ndani ya viwanja vya Matongee Club,kwenye muendelezo wa tamasha la Msimu wa raha kamili na Serengeti jijini Arusha.
Mwanamuziki wa Twanga Pepeta,Msafiri Diouf akiliongoza jahazi la bendi hiyo usiku huu wakati wakiwatumbuiza wakazi wa jiji la Arusha kwenye tamasha la msimu wa raha kamili na serengeti linalofanyika usiku huu katika viwanja vya Matongee Club.
Madansa wa bendi ya Twanga wakiwaonyesha wakazi wa Arusha namna ya kulicheza sebene usiku huu ndani ya viwanja vya Matongee Club,ambapo tamasha la msimu wa raha kamili na serengeti likirindima.
Wadau mbalimbali wakilicheza Twanga
kwa raha zao usiku huu ndani ya Matongee Club.

Baadhi ya wakazi wa jiji la Arusha wakiwa wemejitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la msimu wa raha kamili na serengeti,linaloendelea usiku huu kwenye viwanja vya matongee Club.Tamasha hili kesho linahamia mjini Moshi.Kwa picha zaidi Bofya Hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. watanzania kweli mna roho mbaya , mbona mlikuwa mnasema deouf sijuhi mla unga , mara kafulia , oo mara sijuhi nini . mbona upo hapo anawapa watu burudani.

    mdau paris

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...