KUTAKUWA NA KUSANYIKO LA WATU WOTE TULIOSOMA SHULE YA SEKONDARI MALANGALI KWA AJILI YA KUFAHAMIANA NA KUJADILI MASUALA YA PAMOJA NA MAENDELEO.

KUSANYIKO LITAKUWA TAREHE 5/2/2011 SAA 9 JIONI CHONYA INN (RIVER SIDE)MBELE KIDOGO YA LANDMARK HOTEL UBUNGO, UKITOKEA UBUNGO. TAFADHALI TUJULISHANE WENGINE. MAWASILIANO PIGA 0787525396

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mchungaji Mtikila, Prof. Mwandosya na Prof. Luhanga msiwasahau.

    ReplyDelete
  2. nyeee nyee mbona napitwa bee

    ReplyDelete
  3. Waliosoma Malangali tangi mwaka gani?? Baba yangu mzazi alisoma hapo je nimpelekee taarifa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...