Siku hizi mabasi yote yanayotumika kuchukua wanafunzi maarufu kama 'war bus' kutokana na ile muvi ya kutekwa madenti yana rangi hii jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. tunaishukuru sana serikalikwa uamuzi huo,angalau unaweza kupunguza tatizo la wanafunzi dar.sisi tuko mbali huku ngambo lakini tuko karibu na wananchi na serikali yetu! mungu ibariki tanzania.

    me Jimmy paul mfikwa.

    ReplyDelete
  2. umegusia kuwa kuna gari la wanafunzi lilitekwa? ilikuwaje naomba kufahamu na kama ilikua dar?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...