Rais wa Kampuni ya RBP Oil & Industial Technology (T)Ltd , Rahma Al Kharous, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Yanga ya jijini na Atletico Paranaense ya nchini Brazil, unaotarajia kuchezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa. Katikati ni Rais wa Klabu ya African Lyon, Nabil Salum, wenyeji wa ujio wa timu hiyo, na Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Kostadic Papic na kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri
Rais wa Kampuni ya RBP Oil & Industial Technology (T)Ltd , Rahma Al Kharous (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na makocha wa Klabu za Yanga, Simba na Atletico, baada ya mkutano huo leo.
Kutoka (kulia) ni Mratibu wa Masuaka ya Kimataifa wa Klabu ya Atletico Paranaense,Frank Romanoski, Rais wa Kampuni ya RBP Oil & Industial Technology (T)Ltd, Rahma Al Kharous, Rais wa Klabu ya African Lyon, Nabil Salum, kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Kostadic Papic na Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Patrick Phiri, wakifurahia Skafu ya Klabu ya Atketico, baada ya kukabidhiwa na viongozi wa klabu hiyo, wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es salaam leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...