Shadrack Nsajigwa wa Yanga akipangua ngome
ya AFC Arusha leo uwanja wa Uhuru, Dar

Mshambuliaji wa Yanga, Davis Mwape (kulia) akiwania mpira sambamba na mchezaji wa AFC ya Arusha, Yahaya Sharifu wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika leo jioni kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga iliitungua AFC ya Arusha kwa magoli 6-1.
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mwanzo mzuri

    ReplyDelete
  2. Yanga mmefungwa sana mfululizo, Simba na Atletco ya Brazil. Sasa ndo mmeona mtoe pumzi yenu kwa AFC Arusha. Uonevu mkubwa huo.

    ReplyDelete
  3. Angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu Michuzi maana huandiki aliyefunga mabao hayo ni nani na dakika ya ngapi na ilikuajekuaje??huko ndiko kuchafua hali ya hewa kaka!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...