Marehemu Saidi Baamary akiwa na
bintiye Samira enzi za uhai wake


BI DIANA LUMELEZI NA BINTIYE SAMIRA SAIDI BAAMARY, BINTI WA MAREHEMU SAIDI BAAMARY ALIYEFARIKI KWA AJALI DAR ES SALAAM DESEMBA 11, 2010 BAADA YA KUHUDHURIA HAFLA YA KUWAKUMBUKA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI ILIYOFANYIKA LEADERS CLUB.

KWA NIABA YA FAMILIA YA MAREHEMU WANAENDELEA KUTOA SHUKRANI NYINGI KWA WOTE WALIOSAIDIA KWA HALI NA MALI KUHITMISHA MAZISHI YA MPENDWA WAO BABA YAKE SAMIRA NA MZAZI MWENZIE DIANA. HAWANA CHA KUWALIPA ZAIDI YA KUMWOMBA MOLA AWAZIDISHIE IMANI NA UPENDO NA KUWAAFU KATIKA YOTE MNAYOFANYA.


BI DIANA LUMELEZI NA SAMIRA SAIDI BAAMARY WANAKARIBISHA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KWENYE
AROBAINI YA MAREHEMU SAIDI BAAMARY ITAYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA
EL HILAL KISUTU, JIJINI DAR ES SALAAM, SAA SABA MCHANA.


KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU:

+255 715 193 339

MOLA AIWEKE ROHO YA
MAREHEMU PAHALA PEMA PEPONI

-AMIN

KWA KUMBUKUMBU BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani saa nyingine andikeni vizuri. Hapo juu mimi sijaelewa vizuri nani ni marehemu kati ya Baba na binti yake. Mmeweka marehemu nyinginyingi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...