
Hii accident imetokea jana majira ya saa kumi jioni hivi. Imetokea maeneo ya Mahenge yaani kama kilomita 15 kabla hujafika Kitonga,kama unakwenda Iringa. Nadhani driver alikuwa kauchapa usingizi, maana nilipomuhoji akasema hajui kilichotokea, ila wamesalimika yeye na utingo wake! mbaya zaidi eneo lenyewe hakuna network inayokamata.
Mdau Hussein
nawapa pole dereva huyo pamoja na utingo wake. Ila wanatakiwa wawe makini maana nai hatari sana kuendesha gari huku wamelala. Madhara yake ndio hayo.
ReplyDeletewewe ulijuaje alikuwa amelala? mtu akisema hajui kilichotokea ndo unafikiri alilala? what about a shock. tuache kujifanya wataalam wa kila kitu
ReplyDelete