Home
Unlabelled
Aliyetembea kwa miguu kutoka Cape Town awasili mjini Moshi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hee Bwana Richard hongera sana kwa kuwa na moyo na uvumilivu ambao umekufanya ukafanikiwa katika lengo lako.
ReplyDeleteWatanzania tusome na kujifunza katika hili ni kwamba ukiwa mvumilivu basi mwisho utakula mbivu.
Ama kweli huyu bwana ni "Good-head". Kudunda toka Souzi hadi Bongo si mchezo. Hopefully, pasipo shaka alitembea asije akawa anajitafutia ujiko tu na hukufanya lolote.
ReplyDeleteTutapenda kujua vituko vyake katika Mbio hizo za Kilimajaro.
jamaa alipitia njia gani??maana matembezi ya africa noma.kuna vibaka,snake na simba.mimi nina mpango wa kutoka dar to mwanza lakini kwa baiskeli.kama kuna mdau ana tips zozote anipe
ReplyDeleteJamaa yuko feet ni ndani ya miezi mnne alyopiga kwata kutoka south, kweli penye nia pana njia.Na humo mbuganni wanyama wote hao, tena wengine wakali. kama simba,na wengine
ReplyDeleteNi umbali wa km ngapi?
ReplyDelete