Mshambuliaji wa Azam FC, Mrisho Ngasa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Toto Africa, John Boscow katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru. Azam imeshinda 3-0. Mshambuliaji wa Azam FC, Mrisho Ngasa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Toto Africa, John Boscow katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru. Azam imeshinda 3-0.(Picha na Mdau Francis Dande wa Globu ya Jamii).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Umakini haukuzingatiwa kwenye hii post.Kama vp edit!!!!

    ReplyDelete
  2. ANKO VIPI TENA MBONA HII HABARI KAMA IMECHAKACHULIWA???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...