Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiweka jiwe la Msingi Ujenzi wa kiwanda kipya cha Saruji kinachojengwa katika kijiji cha Kazimzumbwi Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani leo, katika shamrashamra ya kusherehekea miaka 34 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wa kitongoji cha Mpuyani Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani alipowasili katika Ofisi ya CCM Kisarawe kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi na Wanachama hao leo, ikiwa katika mfululizo wa Shamrashamra za kusherehekea miaka 34 ya CCM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...