Beki wa African Lyon, Zuberi Ubwa akilala yombo kumzuia mshmabuliaji wa Azam FC, Himid Mao Mkami wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Azam imiebuka na ushindi wa mabao 3-0.
Wachezaji wa AZAM FC wakishangilia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya African Lyon katika dimba la Uhuru Dar es Salaam leo.Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. michuzi mbona ushindi wa arsenal kimya??????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...