
Habari ambazo zimetufikia muda si mrefu uliopita zinapasha kwamba mtanzania wa kwanza kucheza katika ligi ya NBA,Hasheem Thabeet (pichani) aliyekuwa akichezea timu ya Memphis Grizzlies, ameuzwa kwenda timu ya Houston Rockets ya jijini Houston,Texas katika mabadilishano maalumu baina ya timu hizo mbili.
Katika mabadilishano hayo,mchezaji Shane Battier aliyekuwa akichezea timu anayokwenda Hasheem(Houston Rockets) anajiunga na Memphis Grizzlies.
Hasheem ambaye maendeleo yake katika ligi hiyo ya NBA yamekuwa hayaridhishi,anakwenda Houston mji ambao unaaminika kuwa na watanzania wengi zaidi nchini Marekani kuliko mahali pengine.
ebwana michuzi huyu jamaa kawa so dissapointing kwenye nba mana hata owner wa memphis kasema he made a very big mistake by drafting hasheem mana they thought ataleta changes sana but it has been the opposite,jamaa has to work hard and work on his game especially blocking shots,rebounding and also scoring points,inabidi awe focus kwny game sana sio mambo ya mengine this is a chance in a life time to play in the nba ila i think he hana gud people surrounding him and also ambition ya kufocus kwny game if he devolops his game and confidence he can be a gud player cuz bado yupo young na ana time ya kuprove that amwone blake griffin mwenzake hadi kaenda all star so its about that time 4 him to show potential ability...best of luck
ReplyDeleteha ha ha i knew it huyu jamaaa analeta mchezo na nba alidhani hii ni kili rba ww haiwezekani mtu unacheza nba unakua not serious with ur work focus on ur game,ww summer wenzako wanatumia to get prepared 4 the league ww hata b4 finals ushakimbilia dar kutesa watu ha ha ha tha worst thing is dat hata ur friends dont advice u mana we angalia ww kila mara upo kwny media unarap na wakazi ha ha ha hao wenzako they got nothing to lose kuwa kama dwight howard he was struggling but cheki now anapiga points hadi 40ppg kijana ww on average ni 2.3 dats a shame 4 a sophormore player kazi buti kijana achana na anasa focus on ur game b4 its too late mana this is ur 2nd yr as a rookie kaza butu hao wanaokudanganya sshv hutwaona ukilost kijana let this b ur motivation mwana
ReplyDeletewewe anony namba 2 acha uzushi, "2nd year as a rookie" ndio kitu gani hicho!!!! lol!
ReplyDeleteTunafahamu sana kwamba nyinyi ni wazungu weusi na hata luga yenu mmeisahau,pendekezo; ni vema kama mkitoa maoni tumieni luga moja kama ni kiswahili kieleweke,kama ni hiyo luga ya kuiga basi iwe hiyo tu.Mimi binafsi sipendezwi mnavyochanganya luga mbili kuwa moja.
ReplyDeleteMichezo inaeleweka bwana..siyo kila wakati mtu anakuwa na uwezo wa kuonyesha kipaji..hiyo inatokea hata kwa watu kama Kobe kuna siku games zinakataa kabisa..ila kama the whole league unakuwa kilaza..hapo kuna shida...mimi nadhani Mwenzetu umeweka fame mbele kuliko career yako...hizo safari za bongo kutesa sijui mara uko L.A wakati mwingine na hata watu waliokuzidi umri uachane nayo maana hayakupeleki popote...Itakuwa aibu sana kwako na kwa taifa ikishindikana ku-maintain jina lako NBA so pleeeeaaaasssseee usituangushe...maana ulitambulishwa hata na Rais Kikwete mbele za watu mashuhuri kuwa unaiwakilisha Tanzania...sasa starehe na sports haviendani mwenzangu...wewe bado kijana...tafadhali fanya wajibu wako..!!
ReplyDeleteNaungana na wadau wa hapo juu,lazima ujifunze discipline katika kazi yako,unahitaji very simple changes for improvement,starehe na cheap ladies wanakucost carrier yako,get back to work,focus on your determination,us as Tanzanians we are still proud of you,and hoping for more improvement
ReplyDeletemdau istanbul
hivi huyu dogo mentor wake ni nani ? najua ma mentor wazungu huwa hawakubali kabisa mtu unakuwa mentor wake halafu unaleta ujinga.lakini pia Hasheem na mabasketballer wengi Tanzania na Africa bado wana tatizo la kucheza ORGANIZED BASKETBALL.Tatizo la kujifunzi basketball ukubwani.Hasheem hana muda mrefu ataishia ligi za ulaya
ReplyDeletethought houston Rockets wako juu zaidi kuliko grizzles??anyone who know please educate me
ReplyDeleteMkuu kaza buti tuko nyuma yako, we wish you all the best and hopefully wabongo waliopo Houston watakupa support ya kutosha wakati wa games na katika maisha yako binafsi.
ReplyDeleteChe
Michuzi, huyu jamaa wala hafai kabisaaaaa. Yaani kama umewahi kusikia mtu anaitwa useless katika fani yake basi ndo huyu jamaa. Yaani hana nini wala nini, so dissappointing. Kuna siku mwezi huu wa pili mwanzoni, nilikuwa naangalia gemu moja ya Memphis na Houston, kwa mbali nikamwona Hasheem amekaa benchi kanyosha miguu anatazama watazamaji badala ya kuangalia wenzake wanafanya nini ili naye ajifunze, yeye anaangalia watazamaji. Duh, huyu yanki kweli ziro tu. Poleni kwa hasara Houston.
ReplyDeleteGood trade, Houston wanahitaji a big body pale baada ya debacle ya Yao Ming. Problem was that in Memphis alikuwa hachezeshwi - sababu zinaweza kuwa nyingi, including not being serious and focused enough, kujirusha (na Houston maraha kebe kebe huko!!),na maybe even kusahau Tanzania kwamba eti amefika huko peke yake...whatever, but payback is a bitch!!
ReplyDeleteIn either case, a trade for him is good; I remember Drazen(sp) Petrovic alivyokuwa Portland alistruggle kishenzi, owner akasema alikosea kumdraft, sio right fit etc but alipokuwa traded to New Jersey Nets Petrovic alishine kishenzi. My advise to him is have his people contact Hakeem Olajuwan who still lives somewhere in suburban Houston na akae nae amfundishe footwork and other technics. Better yet, Dikembe Mutombo bado yupo Marekani amtafute afanye hivyo hivyo. Au hata Alonzo Mourning au any of the former centers in the league but Hakeem is the best bet.
Ama kweli sisi waTZ hatupendani na tunapenda kuona downfall ya mwenzetu hapo ndo tunafurahi kabisa. Badala ya kumsikitikia mwenzetu na kumpa ushauri sisi tunaanza kukashfu na kumbeza. Huyo kijana bado ni mdogo anatakiwa apewe ushauri mzuri wenye mwelekeo katika fani yake na pia elimu dunia. Tusiwe watu wa kufurahi pale mtu anapokosea,kwani huyo kijana ni kioo cha taifa letu huko ughaibuni, kwa hiyo ni aibu ya taifa letu sio yeye peke yake. Wale watu wa karibu yake na sisi waTZ wenzake tunatakiwa tuwe pamoja na yeye kwa hali na mali kwani ameiletea sifa nchi yetu kwa kuchaguliwa hapo awali kuchezea timu kubwa ya basketball. Mungu atamuwezesha ampe hekima ili aweze kujua ni nini anatakiwa kufanya ili awe mchezaji bora.
ReplyDeleteThe moment nilipomwona Bills anapigana na kila kukicha anaonekana kule U-TURN nilijua tuu its a wrap
ReplyDeleteKila kukicha bwana mkubwa yuko minazi mirefu anafanya nini?
it's obvious his offensive side is weak..but that's nuthing to worry about, you can still make it big time as a defensive player...like you did in NCAA...you can learn from the likes of Mutombo, Rodman, etc. They never bothered to score...and they were stars...they still are todate in the world of Basketball.
ReplyDeleteKAZA BUTI HASHEEM! TANZANIA IS PROUD OF YOU! CHEERS!
Mlalahoi,
TMK, Bongo.
DOGO APUNGUZE KUJI NADI KWENYE MEDIA ZA BONGO NA MIJIRUSHO! HATA ALIPOKUWAPO BONGO TIMU YAKE YA NYUMBANI ALIKUWA ANAPIGWA BENCHI VILEVILE DOGO FANYA KWELI EEEEH HAYA SHOLI ZAKO!!!
ReplyDelete"When we drafted Hasheem, my guys told me point blank that we needed to play him a lot," Heisley said. "He needed to be on the floor. I don't think we've been able to do our part."
ReplyDeleteThe 7-foot-3 Thabeet has disappointed since Memphis took the native of Tanzania with the second overall pick in the 2009 draft. He's to make about $4.8 million this year and $5.1 million next season with the Grizzlies having the option for 2012-13. Thabeet, who attended high school in Houston, has averaged only 1.2 points and 1.7 rebounds in 45 games this season.
"When we drafted Hasheem, my guys told me point blank that we needed to play him a lot," Heisley said. "He needed to be on the floor. I don't think we've been able to do our part."
"Obviously we need a center on our team," Morey said. "We lost Yao and we have a chance for Yao to come back in the future, but Thabeet is a player who has the potential to develop into a good center over time."
Morey said he wouldn't have taken a chance on Thabeet if he had struggled in several places, but since he's just had one stop there's a good possibility that he could develop in Houston.
"He was a very effective player in college," Morey said. "You don't go second in the draft if you're just a project. We felt comfortable after researching it that Thabeet was somebody that could realize that potential that he showed in college."
vyovyote itakavyosemekana kuhusu Hasheem,kwangu mimi bado ni mchezaji mzuri tu.nilitegemea kuwa tukiwa kama wabongo wenzake, tungemshauri mambo kadhaa ili afanye ile kitu wote tunapenda.kuonekana kwenye media sio tatizo sana, asingekuwa kwenye media zenu pia mngeuwa,kuwa jamaa anajidai,pengine hata kama jamaa angekuwa ana shaini kwenye anga za NBA pia mngesema! wabongo bwana.yeye kuja bongo sio dhambi.narudia tunachotakiwa ni kumshauri afanye nini.wengine hata historia ya Basketball hamna,wibvu tu..acheni wivu ,hata hao akina Yao ming,hakeem na wengine hawakuweza kufika kwenye high peak kirahisi.
ReplyDeleteHasheem,badilika,tumia wakati wako kufanya kweli,bado tupo nawe!
i still got faith on Hasheem! he can do it now!..
ReplyDeleteMnaomponda Hasheem ni wanafiki. These supposed short comings that you list, mnazisema when something goes wrong. Alivyokuwa college hamkuviona? Yeye kuja bongo kuna tatizo gani? Its home. He needs to play more and gain confidence. Watu kama nyinyi is part of the problem. I'd like to hear what you guys have to say WHEN he improves in Houston. He didn't get to the NBA by accident. He has the talent. He needs to adjust
ReplyDeleteif the Memphis kept you in the bench it is their loss not yours, show the Houstons what you are made of
ReplyDeletemademu wote wa vituko na drama wako houston na bosi wao dubei. hasheem angalia usije kuingia aliyoingia nanihii wa walstreet. huston ni nightmare tupu. usipojiangalia tutakuona wakikutukana uturn kesho tu.kuna wawindaji wenye mikuki huko unakoelewa qbar cha mtoto
ReplyDeleteHasheem kaa mbali na U-TURN wale ni wanga. watakukaanga mchana kweupe, kule uwe na hela au uwe mzungu basi. Vinginevyo watakuanika hadi rangi ya nini unayovaa ndani hacha ya saizi ya ninihiiii. Watakulostisha, tafuta mademu wa USA siyo hiyo mitakataka. alafu hacha kujifanya rapper na WAKAZI. endelea kuwa bencher wa D-LEague
ReplyDeleteKaza buti kijana, tunakutegemea katika Taifa letu....wewe uwe kioo cha vijana chipukizi wa michezo kama hii katika fani yako, umepata bahati nzuri, tumia vizuri kwa bidii zote achana na mambo mengine ya Dunia. Ukifanya vizuri tunapata sifa sisi sote Watanzania, kwahiyo hilo liweke akilini na ujivunie, kuwa wewe ni sifa ya Taifa letu, we si unaona hata JK alikukaribisha mpaka Ikulu kwa heshima zote. Uwe kioo cha jamii kwa mambo mazuri...achana na mambo ya hovyo hovyo, fanya kwa bidii kitu kilicho kupeleka huko.
ReplyDeleteNi ushauri tu....tena wa bure ndugu yangu.
Tupo pamoja nawe daima.
Mtanzania mwenzako.
CHIBIRITI.
naamni kabisa kama akiweka bidii kubwa,focus,energy lazima atakuwa mchezaji mzuri sana,lakini mnaomlaumu kumbukeni alikuwa hapati minutes kabisa kule memphis na sometime nafikiri coach wake labda alikuwa anamfanyizia,mbona sam young anapata minutes na sioni kama ni mzuri kuliko Thabeet...anyway Thabeet hakuna short cut just work hard hard hard hard,this coming summer tafuta private coach to improve your game
ReplyDeletewabongo wivu tu unawasumbua mnafurahia mwenzenu kuanguka kidogo lakini mkae mkijua ya kwamba kama mungu amekuandikia yes ni yes hatamkifurahiya yaliyomkuta bado yuko mbali sana kimaisha sidhani kama katika baadhi ya wachangiaji waliomponda kuna hata anayemfikia robo kwa maendeleo aliyokuwa nayo Hasheem au mahali alipo sasa hivi Hasheem watanzania kwanini hatupendani? mtu hapendi kumwona mwenzake yuko juu yake. Hapa inatakiwa tumpe moyo Hasheem na ushauri mzuri azidi kuzonga mbele sio kumponda na kufurahia yaliyompata kwani ukimtakia mwenzako mazuri nawewe mungu atabariki mapito yako ni hayo tu wapendwa tupendane dunia tunapita tu.
ReplyDelete“Hasheem is a recent second overall pick in the draft who addresses our need for increased size and interior defense. We view him as a young player with a large potential for growth. We have been interested in Goran dating back to the 2008 Draft. He is a tough, competitive guard with proven playoff experience who has matured into a solid point guard over the past few seasons. DeMarre is a hard-nosed player who is accustomed to playing in a fast-paced system similar to ours.”
ReplyDeleteSource: http://www.nba.com/rockets/news/rockets_acquire_thabeet_dragi_2011_02_24.html
Thabeet (7-3, 263, Connecticut) was selected by Memphis with the second overall pick in the 2009 NBA Draft. The first Tanzanian-born player to be drafted by and play for an NBA team, Thabeet has averaged 1.2 points, 1.7 rebounds and 0.33 blocks in 45 games with the Grizzlies this season. In 2009-10, Thabeet ranked second among rookies in blocks per game (1.31) and actually led the NBA in blocks per 48 minutes (4.84). He finished his rookie campaign with averages of 3.1 points and 3.6 rebounds in 13.0 minutes over 68 games (13 starts) in 2009-10. Thabeet also averaged 13.8 points, 11.2 boards and 3.17 blocks in six games (four starts) with the NBA D-League Dakota Wizards in 2009-10. At Connecticut, Thabeet was named the 2009 Co-Big East Player of the Year along with Pittsburgh’s DeJuan Blair. He was also a two-time winner of the National Association of Basketball Coaches (NABC) National Defensive Player of the Year Award in 2008 and 2009.
Ankal: Ushauri wa bure. Hivi wanaosema huyu Hasheem anaonewa na watanzania wenzake wanatumia vigezo gani? Katika maoni yote niliyosoma mbona sioni cha kusingiziwa hapa? Ni kweli huyu jamaa is a flop, na pia ni kweli huyu jamaa itamchukua muda mrefu sana kubadilika na asipoangalia ataishia kwenye ligi za Ulaya kama bado atakuwa na hizo potential. Huyu jamaa I believe has hit a rock bottom, maana vitendo vyake ni sawa tu na mastaa njaa wa kibongo. Mtu anapata sifa leo kwa kucheza filamu fulani basi kishajiona nyota ile mbaya kulewa na kupigana baa kila kukicha ama kuruka na mabuzi, leo huyu kesho yule ili mradi tu aandikwe. Sioni tofauti kubwa ya huyu jamaa na mastaa wa kibongo. Asipojirekebisha mapema, he'll be shipped out elsewhere. Hasheem, hakuna mbongo atakayekupa wewe ushauri zaidi ya makocha wako hapo Houston, achana na ujinga wa kibongo. Kwa kweli una haibisha wenzako.
ReplyDeleteGazeti maarufu mjini Memphis limemwiita Hasheem "Thabust" as in the bust yaani bomu! Haya na mengineyo siyo ya kufurahia; ni ya kusikitisha. Anachohitaji Thabeet sasa hivi sio watu wanaomvuta chini bali watu manaomtiashime. Mimi simfahamu. Lakini mara nyingi ninasoma tuhuma za maisha yasiyojali kujisukuma na kukuza mchezo wake. Hana budi kubadilika anabeba bendera yetu. Badala ya kumtukana na kejeli zisizo na manuafaa mimi ningetarajia kama Watanzania tungejiunga kuzidi kumuombea apate kufanikiwa. Kufanikiwa kwake ndio kufanikiwa kwa jina la nchi yetu pia.
ReplyDeleteWe all do mistakes, but all we need to do is to learn through them.
ReplyDeleteHasheem has to recognize his mistakes and faults so as work on them for rectification. for those who knows him better and make a followup of him have to help him by telling him his faults and suggest him some helpful& useful solutions. I believe Hasheem u gonna be back to the track the same way to u entered unto it! Stay Strong Hasheem!
hasheem bado hujawa maarufu jijenge kwanza usipoangalia hata trade haitakuwepo utaishia holaaa maana kila timu haitaki kulipa mtu useless uchumi wenyewe ndio huu wamiliki wanakulipa ili nao watengeneze mshiko sio otherwise kwa kweli tilia maanani hii biashara si ya familia yako.
ReplyDeleteTulisema tangu mwanzo watu wakabisha. Starehe zimemzidia hadi amekuwa mzito kwenye game. Namushauri aende Bongo amuombe radhi TID ili amfungulie nyota yake, Otherwise hata huko Huoston atachemsha tu.
ReplyDeleteI've been observing Hasheem since college, the only reason he did well in college is because he was taller than most college players.even in college he's used to be outplayed by shorter forward. he struggle in Nba because he lucks fundamentals, but he could still be effective in games if works on his rebounding and defensive skills. Mutombo also lacked fundamentals, but he made a tone of money in Nba by just rebounding and shot blocking. I just don't see why Hasheem shouldn't be able to emulate the guy like Dikembe, only he needs to do is put some work in during the summer break. Based on what he's shown be so far, i don't think he'll still playing in NBA after his rookie contract expires next year. Nakutakia mafanikio mema, lakini ukiongeza juhudi kidogo unaweza kutufanya hata tujivunie kuwepo kwako Nba kwa kununua jersey. Kwa sasa hivi sitapoteza vidola vyangu nilivyovifanyia kazi kununua jezi ya mchezaji asiye na jitihada.
ReplyDelete