Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ankal kumbe na weye ni mtaalamu wa mchezo sanaa za kujilinda (martial arts)si bure una nidhamu kubwa.

    ReplyDelete
  2. GöttingenFebruary 26, 2011

    Tumefurahi Ankal kwa kuturushia mahojiano na mwanasanaa mahiri wa BJJ (na siri yako ya uanasanaa kusikika). Nimefurahi adhma yake ya kupanga kuendeleza sanaa mpya hapa nchini, na ushauri wake kwa wanasanaa wengine. Bila shaka Tanzania tunahazina nzuri katika sanaa za aina hii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...