Dirk Kuyt baada ya kutupa raha dhidi ya Sparta
Prague uwanja wa Anfield usiku huu
A late Dirk Kuyt header booked Liverpool's place in the last 16 of the Europa League as the Reds overcame a stubborn Sparta Prague at Anfield.

Kuyt guided in an 86th minute Raul Meireles corner as the home side finally converted one of their chances.

Kwa utamu zaidi chungulia BBC Sport

BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. na maatokea yanayowekwa kwenye blog hii ya ilo bwawa la maini tu . tena basi likishinda siku likishindwa hatuoni kitu . mambo haya vipi ? naona usawa hapa hamna. juzi washika bunduki tulimpiga barcelona naona sjaona kitu. au mtandao uligoma?
    mdau.
    mshikabunduki

    ReplyDelete
  2. Sie tunatisha khakhaa!

    ReplyDelete
  3. KIPOFU KAONA MWENZI....A.K.A NGUVU YA TOGWA ......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...