Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Cyril Chami (kati) na katibu Mkuu wa wizara hiyo Bi. Joyce Mpunjo (wa pili shoto) wanaungana na viongozi wa SBL kusherehekea uzinduzi wa kilaji kipya cha Tusker Malt Lager usiku huu katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar
Dr. Chami akiongea wakati wa uzinduzi huo
Mkurugenzi Mtendaji wa SBL Bw. Richard Wells
akiongea wakati wa hafla hiyo

Mkurugenzi wa Masoko wa SBL Bi. Caroline
Ndungu akikaribisha wageni waalikwa

Mamodo wakitia nakshi uzinduzi huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...