Shemuni Halahala na Anitha Raymos wamemeremeta Jumamosi hii ukumbi wa Coral Beach na baadaye katika mnuso wao wa nguvu ulioandaliwa ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. halima kamusFebruary 06, 2011

    yes, halahala she is yours...and she is very beautiful

    ReplyDelete
  2. Anny kuwa makini dada mji umeingiliwa na wezi wa wame za watu. Mshike mumeo manungaembe yasikupore maana sasa hivi dar imekuwa hatari

    ReplyDelete
  3. Mungu awabarikie sana ndoa yenu, hongereni sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...