Mtoto Patrick Vieira Kobole,akikata keki nyumbani kwao Buguruni - Sukita jijini Dar ,kwa ajili ya kumbukumbu ya kutimiza miaka 6 ya kuzaliwa kwake tarehe 10/Feb. Wazazi tunamtakia heri na fanaka katika maisha yake ,Na Mungu amuongoze katika kila jambo.
Hongera sana Patrick Vieira Kobole

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hongera sana, Baba mwenye nyumba - Pat.
    Untie

    ReplyDelete
  2. Jamani ,siku zinakwenda kweli,Pat huyo........?leo kawa Baba kabisa ndani ya Suti na Tie.
    Hongereni sana Baba na Mama Vieira.Natamuletea na bodyguard wake maana kama Rais vile.

    Daud B - Texas.

    ReplyDelete
  3. Pat,suti imekupendeza sana.Soma mtoto uje kuwa Prof.
    Hongereni sana wazazi.....pia nae Patrick V.

    John Mwakanyamale.
    Ipinda Kyela

    ReplyDelete
  4. Happy b.day Pat

    ReplyDelete
  5. So original.

    ReplyDelete
  6. Happy b.day Pat Vieira.....huko darasa la ngapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...