Rais Dkt.Jakaya mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya WAMA-Nakayama iliyopo katika kijiji cha Nyamisati wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani. Rais Kikwete aliitembelea na kuikagua shule hiyo ya mfano ambayo inahudumia watoto Yatima na wale wanaotoka familia maskini na mazingira magumu wanaofadhiliwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo WAMA inayoongozwa na Mama Salma Kikwete
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya wasichana WAMA Nakayama,iliyopo Nyamisati,wilaya ya Rufiji wakati Rais Kikwete alipokwenda kuikagua jana. Picha na Freddy Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...