Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Dadangu Lady Jaydee nasikitika siku hizi umeanza kuwa kama mwimbaji kiraka. Sikatai unavyowasaidia hao vijana wanaochipukia kwenye Bongo Fleva lakini tunakuomba uwe Selective kuchagua yupi na nyimbo ipi unataka kusaidia.Vinginevyo heshima yako inashuka sasa.

    ReplyDelete
  2. PETER NALITOLELAFebruary 07, 2011

    THIS IS GOOD FOR THE COUNTLY. MR JAFALAI IS ATTENDING MUZUMBE UNIVESITY OF COLLEGE OF MULOGOLO AND GETS DEGLII IN ECONOMY OF TANZANIA IN MUSIC AND HISTOLY. VERY GOOD MAN AND I SALUT HIM AND LADY JAYDEE AND LADY SHY AND MR. SUGU OF PALAMNENT OF TANZANIA

    PETER NALITOLELA

    ReplyDelete
  3. Peter Nalitolela ungeandika kiswahili tu kiingereza chako hakifai hata kuombea maji.

    ReplyDelete
  4. sasa we mdau hapo juu kama hujui english si uandike kwa kiswahili tu, kiswahili kinapendwa na watu wengi tu duniani na hata wengine wanatamani kujifunza ila tu hawajui waanzie wapi, sasa wewe unafagilia kiingeleza wakati hukijui!!!!

    ReplyDelete
  5. Daah..Hapa Jide Kanikumbusha enzi zake alikuwa anakwenda kama MC LYTE enzi zile za POOL SIDE pale Kilimanjaro Hotel. Kwa wale Tunao mjua JD,..ndio utajuwa jinsi gani huyu Dada alivyokuwa Fighter Mpaka kuikamata Game Yote ya Mziki wa Bongo. Big Up My Lovely Sister... I'm Proud of You.

    ReplyDelete
  6. hehehee weeye Peter acha uchokozi tawaambia wadau ukweli kua weye ni doctor haya nenda ukatoe lecture ukoo

    ReplyDelete
  7. pole kijana kwa yaliyokuta ndiyo ukubwa, yule demu mzuri . naomba usiumbuane yote maisha. sisi wadau nyote tunawakunali. Kumbe Ubunge dili eseeeeeeeeeeee, 2015 naingiza timu

    ReplyDelete
  8. Miziki ya namna hii haina ladha wala kionjo halisi cha ki afrika wala tanzania,hii yote ni kuiga marekani,upuuzi mtupu.Lady JD,angalia usije ukapoteza sifa yako kwa ku sapoti upuuzi kama huu.Jamani tujitahidi kuwa "original"kwa muziki wetu wa kitanzania na siyo kuiga marekani,jamaica nk.Tujikomboe ki akili na kisanii pia.Huu ni ushauri wa bure jamani.
    mtoa maoni New JEARSRY,USA.

    ReplyDelete
  9. Hee wanamjua Nalitolela hawa mpaka wadhani hajui kidhungu. Sugu kweli moto chini

    ReplyDelete
  10. Sii kweli wimbo huu ni mkali hauna ladha!

    ReplyDelete
  11. Haaaaa Peter Nalitolela wa Mzumbe nakukumbuka Ulipiga One point 7 alevo na point 3 advance levo,lakini aliyeandika sio peter mwenyewe wa muzumbe university of chuo kikuu.....Big up Jaffarai trk nzuri huyo shyrose hana mpya...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...