Baadhi ya wanachama wa CCM mkoa wa Dodoma wakishiriki katika matembezi maalumu ya kuadhimisha miaka 34 ya kuzaliwa Chama Cha Mapinduzi. Matembezi hayo yalianza katika ofisi ya CCM Mkoa na kuishia katika bustani ya Mwalimu Nyerere mjini Dodoma.
Home
Unlabelled
JK ashiriki matembezi maalumu ya Sherehe za kuzaliwa CCM Dodoma leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Huyo jamaa nyuma ya Kikwete na Jezi ya Aston Villa(Blue)wapi na wapi? Dressing code
ReplyDeleteHongera chama cha mapinduzi, tunapongeza uongozi mzuri wa chama hiki Tawala kwa kuinua maisha ya Watanzania,kuishi vizuri na kuongezeka kwa maendeleo nchini, hakika tunakupongeza rais wetu Jk.
ReplyDeletewe anony wa 2 nakusubiria ufilisike, unaongea kwakua umeokoteza kwa msaada wa mjomba, wanaolala njaa unawaona mafala, ipo siku yako ya kusaga meno yaja.
ReplyDelete