President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete views pictures of former Tanzania Chief Justices who served the country from the pre and post independence period, hanged at the wall of the b High Court corridor while the current Chief Justice Mohamed Othman Chande briefs the president on the pictures. President Dr. Kikwete was the chief guest during the celebrations to mark Law Day, held at the High court, Kivukoni premises in Dar es salaam this morning.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. SERIKARI YA MAREKANI INAWAONDOA RAIA WAKE NCHINI MISRI KUTOKANA NA KHALI MBAYA AMBAYO IMEMWAGA DAMU NYINGI USIKU WA KUAMKIA ALHAMISI. MABUMU YA MAFUTA YA TAA PAMOJA NA PETROLI YALITUPWA KATIKA UWANJA WA TAHRIR AMBAO NDIO UMEKUWA NI UWANJA WA KIVITA,AMBAPO PANDE ZOTE MBILI ZILIPIGANA KWA KASI. JE? SERIKALO YA TANZANIA IMEFANYA NINI MPAKA SASA KUWAONDOA WANAFUNZI WA TANZANIA WAISHIO CAIRO NA ALEXANDRIA?? PESA YA DOWANS INAFAA ITUMIKE KUTUMA NDEGE ILI KUWAOKOA WASOMI WA KITANZANIA WATAKAO JENGA TAIFA LETU LA KESHO. HII VITA YA MISRI NI KUBWA SANA KWA SASA KWA SABABU RAISI WAKE HAINDI POPOTE NA AMESHALIPOTI KWAMBA ATAFIA MISRI KWANI ANAIPENDA NA IMEITOA MBALI. BUNDUKI ZIMELINDIMA USIKU MZIMA, NA JESHI LA MISRI HALIKUINGILIA KABISA. BBC, ALJAZEERA, CNN, KBC KTN ZIMELIPOTI USIKU MZIMA WA KUAMKIA LEO. KWA KWELI KHALI NI MBAYA SANA. NAOMBEA SIKU ZOTE TANZANIA ISITOKEE MAANDAMANO, KWA SABABU NCHI YETU INA MASIKINI WENGI SANA AMBAO HATA KWA KHALI YA AMANI MLO WA KISHO NI HADITHI. NAWASIHI VIONGOZI WA TANZANIA WAONGEE NA WAPINZANI ILI WAFANYE KAZI PAMOJA.
    AHSANTE SANA. MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  2. Mdau hapo juu umesema maneno ya kweli kabisa. Nashukuru anko michuzi akuibania hii !

    mdau paris

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...