Home
Unlabelled
JK officiates at Tanzania Law day celebrations
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SERIKARI YA MAREKANI INAWAONDOA RAIA WAKE NCHINI MISRI KUTOKANA NA KHALI MBAYA AMBAYO IMEMWAGA DAMU NYINGI USIKU WA KUAMKIA ALHAMISI. MABUMU YA MAFUTA YA TAA PAMOJA NA PETROLI YALITUPWA KATIKA UWANJA WA TAHRIR AMBAO NDIO UMEKUWA NI UWANJA WA KIVITA,AMBAPO PANDE ZOTE MBILI ZILIPIGANA KWA KASI. JE? SERIKALO YA TANZANIA IMEFANYA NINI MPAKA SASA KUWAONDOA WANAFUNZI WA TANZANIA WAISHIO CAIRO NA ALEXANDRIA?? PESA YA DOWANS INAFAA ITUMIKE KUTUMA NDEGE ILI KUWAOKOA WASOMI WA KITANZANIA WATAKAO JENGA TAIFA LETU LA KESHO. HII VITA YA MISRI NI KUBWA SANA KWA SASA KWA SABABU RAISI WAKE HAINDI POPOTE NA AMESHALIPOTI KWAMBA ATAFIA MISRI KWANI ANAIPENDA NA IMEITOA MBALI. BUNDUKI ZIMELINDIMA USIKU MZIMA, NA JESHI LA MISRI HALIKUINGILIA KABISA. BBC, ALJAZEERA, CNN, KBC KTN ZIMELIPOTI USIKU MZIMA WA KUAMKIA LEO. KWA KWELI KHALI NI MBAYA SANA. NAOMBEA SIKU ZOTE TANZANIA ISITOKEE MAANDAMANO, KWA SABABU NCHI YETU INA MASIKINI WENGI SANA AMBAO HATA KWA KHALI YA AMANI MLO WA KISHO NI HADITHI. NAWASIHI VIONGOZI WA TANZANIA WAONGEE NA WAPINZANI ILI WAFANYE KAZI PAMOJA.
ReplyDeleteAHSANTE SANA. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Mdau hapo juu umesema maneno ya kweli kabisa. Nashukuru anko michuzi akuibania hii !
ReplyDeletemdau paris