
TUTAFANYA KISOMO CHA KUMUOMBEA MZEE WETU MPENDWA SIKU YA J-PILI YA TAREHE 13/02/2011 KWA WALE WALIOKO U.S.A, KANSAS CITY WANAWEZA KUJA KWA ANUANI HII:
7425 FLINT ST,
APT.102,
SHAWNEE,
KS66203
KISOMO KITAFANYIKA SAA KUMI JIONI.....
NDUGU JAMAA MARAFIKI WAPENDWA WOTE MNAKARIBISHWA KUJA KUMUOMBEA MZEE WETU MPENDWA!...HAKUNA CHA ZAIDI YA KUMUOMBEA NA KWA UDHURU UNAWEZA KUPIGA PHONE: +191317101780
..................
WAHADHA SALAAM!!
HAJI MAHMOUD
www.obamamtoto.blospot.com
7425 FLINT ST,
APT.102,
SHAWNEE,
KS66203
KISOMO KITAFANYIKA SAA KUMI JIONI.....
NDUGU JAMAA MARAFIKI WAPENDWA WOTE MNAKARIBISHWA KUJA KUMUOMBEA MZEE WETU MPENDWA!...HAKUNA CHA ZAIDI YA KUMUOMBEA NA KWA UDHURU UNAWEZA KUPIGA PHONE: +191317101780
..................
WAHADHA SALAAM!!
HAJI MAHMOUD
www.obamamtoto.blospot.com
Saaalm alykum kaka michuzi namba yangu hiyo ya simu nimechapia kidogo kuna namba hapo imeingia kimakosa... correct namba ni +19137101780 kama ukiangalia hapo namba moja ilioko between 3 n 7 haitakiwi kuwepo.......ahsante maalim wangu......wahadha salaam!!
ReplyDeletehaji mahmoud
www.obamamtoto.blogspot.com