Makamu wa Rais wa Zanzibar Mh. Seif Shariff Hamad na ujumbe wake wakiwa na Balozi wetu katika falme za Kiarabu Mh. Mohamed Maharage (wa pili kulia) akifuatiwa na naibu wake wakati walipompeleka mheshimiwa kwenye maonesho ya Global Village mjini Dubai leo
Makamu wa Rais wa Zanzibar Mh. Seif Shariff Hamad akitembezwa kwenye maonesho ya Global Village huko Dubai
Makamu wa Rais wa Zanzibar Mh. Seif Shariff Hamad na ujumbe wake na wenyeji wakielekea kwenye maonesho ya Global Village huko Dubai

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. PETER YOWELI KAGUTA NALITOLELAFebruary 21, 2011

    SHEIKH MAALIM SEIF ANAWAKIRISHA CUF NA TZ VIZULI SANA. HII NDIO MAANA NASEMAA MPELEKENI WATOTO WENU MUZUMBE CHUO KIKUU CHA UNIVESITI CHA KULE MULOGGOLO WAKASOME UCHUMI. WATAKUWA NA AKIRI NA KUWA RAIS WA NCHI YA ZANZIBAR NA TANZANIA. ONENI DR.DR. JK NI RAIS BARA NA SHEIHK. MAALI SEIF NAYE NI MAKAMU WA RAIS WA ZANZIBAR.MKUU ALIKULA BUKU YA UCHUMI YA SHERI YA DUBEI KURE MUZUMBE SASA ANAFATWA TU NA MA BODY GADI WA SEKLETI SEVISI. AND HE BECOMES THE PLESIDENT OF TZ IN 2015 WITH ANKAL MISUPUAND MAKES THE TANZANIA THE RICHED COUNTRLY IN AFLICA. HONGELA SANA AND YOU BECOMES MY HELO

    ReplyDelete
  2. Maalim Seif hakusoma Muzumbe university, he studied at university of Dar es salaam BA of administration and political science

    ReplyDelete
  3. Mungu wangu weeeeeeeeee!!! Hivi Yoweli ulienda Shule, achia uwanja huu watu waliovuka umande

    ReplyDelete
  4. JAMANI NATAMANI KWELI NIMJUE PETER NALITOLELA, YAELEKEA ANAVITUKO KAMA JOTI ITABIDI TUWE TUNAKUITA JOTI WA BLOG YA JAMII

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...