Mdau Sheba akielezea historia ya Tanzania.
Kwa niaba ya jumuhiya ya wanafunzi wasomao ACHARYA INSTITUTIES bangalore India (TASAA)kwa kirefu TANZANIAN STUDENTS ASSOCIATION OF BANGALORE tunatoa shukuran za dhati kwa ubalozi na Mh balozi KIJAZI kwa kutuunga mkono kwa kutupa vifaa vilivyo weza kufanikisha kuitanga na kutoa elimu katika maonyesho ya utamaduni wetu.
Pia tunatoa shukrani za dhati kwa uongozi wa Acharya kwa kutupa ruhusa ya kufanya maonyesho haya. Pia tunawashukuru wanajumuiya wote walio shiriki kikamilifu katika maonyesho yaliyo fana na kutujengea heshima kubwa watanzania chuoni.
Hamisi S fupi
TASAA President.
kwa maelezo zaidi na picha tembelea


Hongereni sana kwa kazi nzuri ya kutangaza nchi yetu! Kwa kweli nimeipenda hiyo,BIG UP!
ReplyDeleteMatukio mazuri kama haya yanatia matumaini sana katika suala la mapenzi na uzalendo kwa nchi yetu,kuna hatua ndefu za kupiga kufikia maisha bora na afya kwa wote,lakini elfu nayo inaanza na moja,tutafika tu.
ReplyDeletena hivi wadau wa india,kuna ulazima wa kujua kihindi katika masomo au lah?
Mdau Istanbul
Good job!
ReplyDeleteHongereni sana kwa Kazi nzuri!
ReplyDeleteMdau, Kasanga -Sumbawanga