Mdau Abdullah akiwaonesha wageni waliohudhuria kwenye maonesho hayo ya Tanzania ilipo katika ramani ya dunia mwishoni mwa wiki katika chuo cha Acharya huko Bangalore, India

Mdau Sheba akielezea historia ya Tanzania.


Mdau Alex kahela akielezea juu ya
makabila na vyakula asili vya Tanzania

Mdau Lusajo akiwaeleza wageni juu ya ukumbi wa
kimataifa wa mikutano wa Arusha (AICC)
Rais wa jumuiya ya wanafunzi wa Tanzania huku Bangalore, Bw. Hamisi s. Fupi, akimkabidhi mkuu wa mafunzo wa chuo cha Acharya majalida 60 ya utali na historia ya Tanzania kwa ajili ya maktaba (library) ya chuon hapo.

Kwa niaba ya jumuhiya ya wanafunzi wasomao ACHARYA INSTITUTIES bangalore India (TASAA)kwa kirefu TANZANIAN STUDENTS ASSOCIATION OF BANGALORE tunatoa shukuran za dhati kwa ubalozi na Mh balozi KIJAZI kwa kutuunga mkono kwa kutupa vifaa vilivyo weza kufanikisha kuitanga na kutoa elimu katika maonyesho ya utamaduni wetu.

Pia tunatoa shukrani za dhati kwa uongozi wa Acharya kwa kutupa ruhusa ya kufanya maonyesho haya. Pia tunawashukuru wanajumuiya wote walio shiriki kikamilifu katika maonyesho yaliyo fana na kutujengea heshima kubwa watanzania chuoni.

Hamisi S fupi

TASAA President.

kwa maelezo zaidi na picha tembelea

http://www.tasaa.webs.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongereni sana kwa kazi nzuri ya kutangaza nchi yetu! Kwa kweli nimeipenda hiyo,BIG UP!

    ReplyDelete
  2. Matukio mazuri kama haya yanatia matumaini sana katika suala la mapenzi na uzalendo kwa nchi yetu,kuna hatua ndefu za kupiga kufikia maisha bora na afya kwa wote,lakini elfu nayo inaanza na moja,tutafika tu.
    na hivi wadau wa india,kuna ulazima wa kujua kihindi katika masomo au lah?
    Mdau Istanbul

    ReplyDelete
  3. Hongereni sana kwa Kazi nzuri!
    Mdau, Kasanga -Sumbawanga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...