SEHEMU YA HOTUBA YA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA, PROFESA JOHN NKOMA WAKATI WA UFUNGUZI WA JENGO HILO LEO

Gharama za jengo hili ni shilingi za kitanzania 39, 454, 028, 936.00. Jengo hili limejengwa na kampuni ya China Railway Jianchang Engineering (T) Co. Ltd (CRJE) kama kontrakta mkubwa, na makontrakta wadogo wa huduma, na Mshauri Mtaalamu (Consultant) ni Archplan International Inc.

Hili jengo lina ghorofa kumi na nne, na kwa hivi sasa ofisi zote zinatumika, ikiwa pamoja na maofisi ya TCRA, na taasisi za umma na makampuni. Vile vile, Mamlaka ina mpango wa kuanzisha “Communication Museum” katika jingo hili. Hii “museum” itaweka kumbukumbu kuhifadhi historia ya mawasiliano hapa nchini.

Pata hotuba kamili za siku hii
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...