Mkurugenzi mtendaji wa Precision Air Alfonse Kioko(katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari hawapo pichani wakati akitangaza rasmi safari zao za ndege kwenda Mkoa wa Bukoba kwa kiasi cha Tsh 450,000 kwa safari ya kwenda na kurudi,kushoto Mkuu wa kitengo cha biashara Phill Mwakitawa na kulia ni Mkuu wa mipango ya mitandao wa kampuni hiyo Bw.Patrick Ndekana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Asante kwa kutuhabarisha kuhusu safari za Precision air. Jamani siko nchini kwa wakati huu ila nilitaa tu kujua kama kweli siku hizi umeundwa mkoa mpya wa Bukoba, maana ninachojua ni Mkoa wa Kagera, ila mabadiliko siku hizi ni mengi. Ninaomba kujua kuwa Kagera imegawanywa katika mikoa midogo kama walivyofanya huko Mwanza, nasikia kuna Mkoa wa Geita (hii ilikuwa Mwanza mkoa, Geita wilaya)

    ReplyDelete
  2. Anony wa 05:50:00...LOL you are so hilarious....hahahhaha...yani umenifurahisha kwa kweli ulivopresent swala lako...khaaa...vituko haviishi.... haya sasa Uncle mjibu mwenzio maana hapo kwakweli umemtatiza... you qualify to be a comedian....

    ReplyDelete
  3. That is closed to 500usd. I love my country.

    ReplyDelete
  4. Bwana Michuzi, huo mkoa wa Bukoba uko nchi gani, na safari za nauli hiyo zinatokea wapi kwenda mkoa wa Bukoba na kurudi wapi?

    ReplyDelete
  5. Kaka Michuzi naomba nauli ya sasa hivi kwenda Mwanza na kurudi ktk shirika hili.

    ReplyDelete
  6. Mkoa wa Bukoba ? !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...