MECHI KALI YA KUKATA NA SHOKA KATI YA WATU WALIOKAA UPANGA COSBY FC NA OFC FC OYSTERBAY MECHI YA MWISHO ILICHEZWA WAKATI TUKIWA VIJANA SANA MWAKA 1989 YA LEO IMECHEZWA LEADERS CLUB NA MATOKEO YAMEKUWA 4-4 BAADHI YA WACHEZAJI WALIYOCHEZA UPANGA NI MULAMU NGHAMBI,RODNEY CHIDUO,STEWART KAMBONA,GEOFREY CHIDUO,JULIUS TANDAU,RASHID KULEWA, JOHN MWANSASU, SAID DUCHE,MUSTAPHA PENZA,MUKOLO NGOI,REX KULEWA ,MANDISHA KULEWA,JOHN MWANSASU NA WENGINEO UPANDE WA O BAY GOTA WARIOBA,KASIM MWANDORO ,GHARIBU MBONDE,KASONGO FARAJI,ALLY YUSUPH TIGANA,DEO,MODDY SKYWALKER,HARBART MARWA NA MENGINEO
UPANGA KIDS

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. John na rodrick mmetutosa watoto wa chuo sio??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...